Amancio Ortega
Mfanyabiashara wa Uhispania
Amancio Ortega Gaona (matamshi ya Kihispania: [amanθjo oɾteɣa ɣaona]; alizaliwa Machi 28, 1936) ni mfanyabiashara bilionea wa huko Hispania. Yeye ndiye mkuu wa familia ya Ortega.
Ndiye mwanzilishi na mwenyekiti wa zamani wa kikundi cha mtindo cha Inditex, kinachojulikana kwa mlolongo wa maduka ya nguo na vifaa vya Zara.
Kufikia mwishoni mwa mwezi Septemba 2018, Ortega alikuwa na jumla ya mali halisi ya dola bilioni 70, na kumfanya awe mtu wa pili tajiri zaidi huko Ulaya baada ya Bernard Arnault, na wa sita duniani.
Ortega pia ni muuzaji tajiri zaidi duniani.
![]() | Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amancio Ortega kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoLucy KombaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSiku ya ArafahSiku ya Mtoto wa AfrikaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniLuhaga Joelson MpinaKumaDiamond PlatnumzTanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaKamusi za KiswahiliSimba S.C.Orodha ya Watakatifu WakristoNikki wa PiliKalenda ya KiislamuMaumivu ya kiunoMbooShairiNembo ya TanzaniaAmri KumiVita Kuu ya Pili ya DuniaTendo la ndoaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Orodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaJohn MagufuliHistoria ya KanisaMofimuIdd el HajjOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaOrodha ya miji ya kale ya WaswahiliMapenzi ya jinsia mojaOrodha ya Marais wa TanzaniaFasihi simuliziOrodha ya Marais wa Zanzibar