Afrodita
mungu wa kike wa Kigiriki wa upendo, uzuri, raha, na uzazi
Afrodita (pia anaitwa kwa Kigiriki: Ἀφροδίτη, Afrodite) ni mungu wa kike wa upendo na uzuri katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Venusi katika dini ya Roma ya Kale.
Afrodita | |
---|---|
Mungu wa Kike wa Upendo na Uzuri | |
Makao | Mlima Olimpos |
Alama | Pomboo, Waridi, Mirtia, Njiwa, Shomoro, Kibwebwe, Kioo na Bata-maji |
Mwenzi | Hefaisto, Ares, Poseidoni, Herme, Dioniso, Adoni, na Ankhise |
Wazazi | Urano au Zeu na Diona |
Ndugu | Nimfa wa Miti, Furia Watatu na Giganti |
Watoto | Eros, Fobo, Deimo, Harmonia, Potho, Anteros, Himeros, Hermafrodito, Rhode, Eriksi, Peitho, Tikha, Eunomia, Priapo na Ainea |
Ulinganifu wa Kirumi | Venusi |
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMikoa ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoShairiFasihi simuliziMarie AntoinetteAina za manenoNembo ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiMaalum:MabadalikoyaKaribuniMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaTanzaniaVivumishiChristina ShushoKumaOrodha ya makabila ya TanzaniaKiswahiliShinaKamusi za KiswahiliVitendawiliFasihiTanganyikaSilabiMofimuLughaMaumivu ya kiunoMshororoNominoKamusiViwakilishiKisaweHistoria ya TanzaniaSimba S.C.Amri KumiSalim KikekeNetiboli