Afrika ya Kusini
Afrika ya Kusini ni ukanda ulioko kusini mwa bara la Afrika.
Katika hesabu ya UM nchi 5 zifuatazo huhesabiwa kuwa sehemu za ukanda huo:
Jina la nchi au eneo, bendera | Mji Mkuu |
---|---|
Botswana | Gaborone |
Eswatini | Mbabane |
Lesotho | Maseru |
Namibia | Windhoek |
Afrika Kusini | Bloemfontein, Cape Town, Pretoria |
Mara nyingi nchi zifuatazo zinatajwa pia kuwa nchi za Afrika ya Kusini:
- Angola – wakati mwingine kanda la Afrika ya Kati katika orodha ya UM.
- Msumbiji na Madagaska – menginevyo kanda la Afrika ya Mashariki katika orodha ya UM.
- Malawi, Zambia na Zimbabwe – wakati mwingine zinehesabiwa kuwa sehemu ya Afrika ya Kusini au ya Afrika ya Mashariki - (zamani zilikuwa pamoja kama Rhodesia ya Kusini, Rhodesia ya Kaskazini na Unyasa katika Shirikisho la Afrika ya Kati)
- Komori, Morisi, Shelisheli, Mayotte na Réunion ni visiwa vidogo vya Bahari Hindi vinavyohesabiwa kuwa sehemu za Afrika ya Mashariki.
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoMuungano wa Tanganyika na ZanzibarShukuru KawambwaFasihi simuliziShairiNembo ya TanzaniaAina za manenoMofimuVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaTarakilishiKamusi za KiswahiliOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaTanzaniaMikoa ya TanzaniaKitenziJamii:Wilaya za Mkoa wa Dar es SalaamApril JacksonSilabiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiJamii:Wilaya za Mkoa wa ArushaVieleziOrodha ya makabila ya TanzaniaFasihiKumaChristopher MtikilaHalmashauriMshororoKigezo:Kata za Wilaya ya IlalaMaudhuiViwakilishiVitendawiliKiswahiliNominoFasihi andishiMfumo wa mmeng'enyo wa chakula