Mkoa wa Kara
Mkoa wa Kara ni mojawapo ya mikoa mitano ya Togo. makao makuu ya mkoa yako mjini Kara.
Mkoa una eneo la kilomita za mraba 11,738. Idadi ya wakazi imekadiriwa kufikia 957,600 kwenye mwaka 2020.[1]
Miji mingine katika eneo la Kara ni pamoja na Bafilo, Bassar, na Niamtougou .
Mkoa wa Kara umegawanywa katika wilaya za Assoli, Bassar, Bimah, Dankpen, Doufelgou, Keran, na Kozah .
Kara iko kaskazini mwa Mkoa wa Kati na kusini mwa Mkoa wa Savanes. Upande wa magharibi iko Ghana, na upande wa mashariki iko Benin .
Marejeo hariri
- ↑ https://www.citypopulation.de/en/togo/cities/ Togo-Regions, tovuti ya citypopulation.de
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoOrodha ya makabila ya TanzaniaJamii:RomaniaZuhura YunusMafurikoShairiMikoa ya TanzaniaInsha ya wasifuDiamond PlatnumzHifadhi ya mazingiraKumaKenyaTanzaniaMaumivu ya kiunoHaki za watotoMadawa ya kulevyaAmri KumiKamusi za KiswahiliTendo la ndoaMazingiraUkimwiMisemoAina za manenoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaSimba S.C.Orodha ya vitabu vya BibliaNahauMaalum:MabadalikoyaKaribuniMapenziTungo kiraiVivumishiVita Kuu ya Pili ya DuniaOrodha ya Magavana wa TanganyikaFasihi simuliziSilabiUandishi wa insha