Wolframi ni metali yenye namba atomia 74 kwenye mfumo radidia, uzani atomia ni 189.84. Alama yake ni W. Wolframi ina kiwango cha kuyeyuka cha juu kabisa kati ya metali zote.

Wolframi (wolframium;
Kiing. Tungsten)
Punje za wolframi katika testitubu
Punje za wolframi katika testitubu
Jina la ElementiWolframi (wolframium;
Kiing. Tungsten)
AlamaW
Namba atomia74
Mfululizo safuMetali ya mpito
Uzani atomia 183.84
Valensi2, 8, 18, 32, 12, 2
Densiti19.25 g/cm³
Ugumu (Mohs){{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka3695 K (3422 °C)
Kiwango cha kuchemka5828 K (5555  °C)
Asilimia za ganda la dunia6 · 10-3 %
Hali maada mango


Matumizi yake ni hasa kwa taa pia katika aloi za feleji.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wolframi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.