Watutsi
kabila kutoka eneo la Maziwa Makuu ya Afrika
Watutsi ni tabaka (kuliko kabila) la watu wa Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na maeneo ya kandokando kama vile Uganda na Tanzania.
DNA inaonyesha kwamba wana undugu mkubwa na makabila ya Kibantu ya jirani, hasa Wahutu.
Lugha zao ni Kinyarwanda na Kirundi.
Watutsi maarufu
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Watutsi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMikoa ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKumaShairiMawasilianoEverest (mlima)Kamusi za KiswahiliOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaTanzaniaDiamond PlatnumzOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya milima mirefu dunianiYoung Africans S.C.UtandawaziMaumivu ya kiunoWilaya za TanzaniaMapenziOrodha ya makabila ya TanzaniaFasihi simuliziUandishi wa ripotiVivumishiNahauOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaAfrikaSimba S.C.Hassan MwakinyoAina za manenoMaalum:MabadalikoyaKaribuniNembo ya TanzaniaJohn MagufuliHistoria ya KanisaUzazi wa mpango kwa njia asiliaJumuiya ya Afrika MasharikiLughaUtatuWikipedia:Msaada wa kuanzisha makala