Valentina Tereshkova
(Elekezwa kutoka Valentina Vladimirovna Tereshkova)
Valentina Vladimirovna Tereshkova (Kirusi Валентина Владимировна Терешкова) (* 6 Machi 1937) alikuwa mwanaanga kutoka Umoja wa Kisovieti na mwanamke wa kwanza aliyefika kwenye anga-nje.
Alikuwa mtoto wa mkulima aliyeendelea kusoma uhandisi akafaulu kupita mtihani kwa shule ya wanaanga mwaka 1962.
Tar. 16 Juni 1963 alirushwa kwa chombo cha angani Vostok 6 akazunguka dunia mara 49 akarudi duniani 19 Juni.
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaZuhura YunusShairiKamusi za KiswahiliNikki wa PiliMshororoNahauTanzaniaAina za manenoOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoOrodha ya makabila ya TanzaniaNembo ya TanzaniaMikoa ya TanzaniaFasihi simuliziJumuiya ya Afrika MasharikiNominoDiamond PlatnumzTamthiliaSentensiKumaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaNgeliKalenda ya KiislamuKisaweUandishi wa inshaFasihiVivumishiMaumivu ya kiunoMisemoInsha ya wasifuAlama ya uakifishajiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMapenzi ya jinsia mojaVitendawiliMadawa ya kulevyaVitenzi vishirikishi vikamilifuKamusi