Uruapan, Michoacán
Uruapan ni mji katika jimbo la Michoacán.
Jiji la Uruapan | |
Nchi | Mexiko |
---|---|
Jimbo | Michoacán |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 279,229 |
Tovuti: www.uruapan.gob.mx |
Mji upo m 1,921 kutoka juu ya usawa wa bahari. Mwaka 2005 ilikuwa na wakazi 279,229 mjini, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 1,000,000. Uneo lake ni 368.4 km².
Pahali pa vipepeo ni karibu na mji.
Mji ulianzishwa na Fray Juan de San Miguel mwaka 1533.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Uruapan, Michoacán kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaZuhura YunusShairiKamusi za KiswahiliNikki wa PiliMshororoNahauTanzaniaAina za manenoOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoOrodha ya makabila ya TanzaniaNembo ya TanzaniaMikoa ya TanzaniaFasihi simuliziJumuiya ya Afrika MasharikiNominoDiamond PlatnumzTamthiliaSentensiKumaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaNgeliKalenda ya KiislamuKisaweUandishi wa inshaFasihiVivumishiMaumivu ya kiunoMisemoInsha ya wasifuAlama ya uakifishajiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMapenzi ya jinsia mojaVitendawiliMadawa ya kulevyaVitenzi vishirikishi vikamilifuKamusi