Uhuru wa Tanganyika
Uhuru wa Tanganyika ulipatikana tarehe 9 Desemba 1961.
Eneo la Tanganyika, ambalo awali, pamoja na Rwanda na Burundi, liliunda koloni la Afrika ya Mashariki ya Kijerumani, lilikuwa linasimamiwa na Uingereza kuanzia mwaka 1916 mpaka 1961.
Kwanza lilikuwa linasimamiwa chini ya utawala wa kijeshi.
Kuanzia tarehe 20 Julai 1922, lilirasimishwa kuwa ndani ya mamlaka ya Shirikisho la Mataifa chini ya utawala wa Waingereza.
Kuanzia mwaka 1946, liliongozwa na Uingereza kama eneo la kudhaminiwa chini ya uangalizi wa Umoja wa Mataifa hadi siku ya kupata uhuru.
Mhusika mkuu wa uhuru huo alikuwa Julius K. Nyerere pamoja na chama cha TANU.
Tazama pia hariri
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uhuru wa Tanganyika kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoPentekosteUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaRoho MtakatifuVipaji vya Roho MtakatifuOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaShinikizo la juu la damuNembo ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaAina za manenoJumuiya ya Afrika MasharikiKamusi za KiswahiliShairiTendo la ndoaKumaOrodha ya Watakatifu WakristoMafurikoMaumivu ya kiunoDiamond PlatnumzVivumishiMapenziAmri KumiHistoria ya KanisaOrodha ya nchi za AfrikaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMapenzi ya jinsia mojaMisemoMpira wa miguuMshororoUzazi wa mpango kwa njia asiliaVita Kuu ya Pili ya DuniaTanganyikaMbooMaalum:MabadalikoyaKaribuniVirusi vya Corona