Ugonjwa wa Charcot
Ugonjwa wa Charcot ni moja ya magonjwa ya kurithi.
Hujulikana kama ugonjwa wa Charcot kutokana na jina la Jean-Martin Charcot, mwanasayansi wa neva wa Ufaransa ambaye kwa mara ya kwanza aliielezea kuhusu ugonjwa huu mwaka wa 1869.
Mtu aliye na ugonjwa huu hukosa tishu za misuli na hisia ya kugusa sehemu mbalimbali za mwili wake.
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ugonjwa wa Charcot kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaZuhura YunusMaalum:MabadalikoyaKaribuniMizimuOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaShairiTanzaniaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaAina za manenoKamusi za KiswahiliMaumivu ya kiunoOrodha ya Watakatifu WakristoVivumishiVita Kuu ya Pili ya DuniaAmri KumiFasihi simuliziMohammed Gulam DewjiKumaNikki wa PiliDiamond PlatnumzNembo ya TanzaniaKiswahiliYoung Africans S.C.Uzazi wa mpango kwa njia asiliaMbooMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaUandishi wa ripotiSimba S.C.Historia ya KanisaTendo la ndoaShinikizo la juu la damuJohn MagufuliWilaya za TanzaniaNahau