Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1960
Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1960 ulikuwa wa 44 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 8 Novemba. Upande wa "Democratic Party", mgombea John F. Kenndy (pamoja na kaimu wake Lyndon B. Johnson) alimshinda mgombea wa "Republican Party" Richard Nixon (pamoja na kaimu wake Henry Cabot Lodge).
Uchaguzi huo ulikuwa wa kwanza wa majimbo hamsini, yaani wachaguzi kutoka Alaska na Hawaii waliruhusiwa mara ya kwanza.
Matokeo hariri
Kennedy akapata kura 303, na Nixon 219 wakati kura 15 zilipigiwa kwa Harry F. Byrd asiyegombea. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaZuhura YunusMaalum:MabadalikoyaKaribuniMizimuOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaShairiTanzaniaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaAina za manenoKamusi za KiswahiliMaumivu ya kiunoOrodha ya Watakatifu WakristoVivumishiVita Kuu ya Pili ya DuniaAmri KumiFasihi simuliziMohammed Gulam DewjiKumaNikki wa PiliDiamond PlatnumzNembo ya TanzaniaKiswahiliYoung Africans S.C.Uzazi wa mpango kwa njia asiliaMbooMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaUandishi wa ripotiSimba S.C.Historia ya KanisaTendo la ndoaShinikizo la juu la damuJohn MagufuliWilaya za TanzaniaNahau