Sofa
Sofa (kutoka neno la Kiingereza lilitokana na Kituruki likiwa na asili ya Kiarabu suffa, yaani "sufu"; pia kochi kutokana na Kiingereza "couch") ni kiti cha starehe cha kisasa kinachoundwa kwa kutumia mbao magodoro na kitambaa maalumu.
Sofa ni maarufu sana: kwa sasa hutumika sehemu mbalimbali kama nyumbani, ofisini, katika masaluni n.k.
Tanbihi hariri
Marejeo hariri
- John Gloag, A Short Dictionary of Furniture rev. ed. 1962. (London: Allen & Unwin)
- The Grove Encyclopedia of Decorative Arts, Volume 2, page 369, Oxford University Press 2006 ISBN 9780195189483
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sofa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaZuhura YunusMaalum:MabadalikoyaKaribuniMizimuOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaShairiTanzaniaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaAina za manenoKamusi za KiswahiliMaumivu ya kiunoOrodha ya Watakatifu WakristoVivumishiVita Kuu ya Pili ya DuniaAmri KumiFasihi simuliziMohammed Gulam DewjiKumaNikki wa PiliDiamond PlatnumzNembo ya TanzaniaKiswahiliYoung Africans S.C.Uzazi wa mpango kwa njia asiliaMbooMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaUandishi wa ripotiSimba S.C.Historia ya KanisaTendo la ndoaShinikizo la juu la damuJohn MagufuliWilaya za TanzaniaNahau