Samotrake
Sehemu ya Ugiriki
Samotrake (kwa Kigiriki: Σαμοθράκη, samoˈθraci) ni kisiwa cha Ugiriki kilichoko kaskazini mwa Bahari ya Aegean.
Kina wakazi 2,859 (2011) wanaotegemea zaidi uvuvi na utalii.
Kinatajwa na Biblia ya Kikristo kwa kuwa mwaka 49 au 50 Mtume Paulo, katika safari yake ya pili ya kimisionari, aliabiri kutoka Troas hadi Samotrake akielekea Makedonia kutokana na njozi aliyoipata ikiwa na himizo la kuingia Ulaya ili kuwaletea Injili Wamakedonia.
Matendo ya Mitume 16:11 kinasimulia hivi: "Basi tukang’oa nanga kutoka Troa, tukafika Samothrake kwa tanga moja, na siku ya pili tukafika Neapoli".
Tanbihi hariri
Marejeo hariri
Viungo vya nje hariri
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Official Samothrace webpage (in Greek)
- Samothraki Visitor Information Website (in English)
Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Samotrake kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaZuhura YunusShairiKamusi za KiswahiliNikki wa PiliMshororoNahauTanzaniaAina za manenoOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoOrodha ya makabila ya TanzaniaNembo ya TanzaniaMikoa ya TanzaniaFasihi simuliziJumuiya ya Afrika MasharikiNominoDiamond PlatnumzTamthiliaSentensiKumaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaNgeliKalenda ya KiislamuKisaweUandishi wa inshaFasihiVivumishiMaumivu ya kiunoMisemoInsha ya wasifuAlama ya uakifishajiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMapenzi ya jinsia mojaVitendawiliMadawa ya kulevyaVitenzi vishirikishi vikamilifuKamusi