Rhodesia
ukarasa wa maana wa Wiki How
Rhodesia ni jina la kihistoria kwa ajili ya maeneo ya nchi za kisasa Zimbabwe na Zambia wakati wa ukoloni kuanzia 1895.
Lamaanisha hasa nchi za
- Rhodesia ya Kusini (Zimbabwe) iliyojulikana kama "Rhodesia" tu kati ya 1964 na 1979 pia kama Zimbabwe-Rhodesia mwaka 1979 kabla ya kuitwa "Zimbabwe" pekee.
- Rhodesia ya Kaskazini iliyokuwa eneo lindwa la Uingereza na kupata uhuru wake kama "Zambia" mwaka 1964.
- Huko Uingereza kuna pia kijiji kinachoitwa "Rhodesia" katika wilaya ya Nottinghamshire takriban kilomita 30 kusini ya mji wa Sheffield. Haina uhusiano na historia ya jina la nchi za Afrika.
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaNembo ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMshororoMikoa ya TanzaniaTamthiliaAina za manenoUandishi wa ripotiKamusi za KiswahiliNahauOrodha ya makabila ya TanzaniaFasihi simuliziMaudhuiAlama ya uakifishajiJumuiya ya Afrika MasharikiTanzaniaTarakilishiSilabiVivumishiKumaKisaweMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaViwakilishiFasihiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaDiamond PlatnumzVieleziHaki za watotoSentensiUzazi wa mpango kwa njia asiliaMarie AntoinetteUandishi wa inshaKamusiInsha ya wasifuDuniaFamilia