Orodha ya wakuu wa nchi Gabon

Orodha hii inataja wakuu wa Gabon kufuatana na utaratibu wa nchi hiyo (Tarehe zilizo katika mlalo zinaashiria uendelezo wa kiofisi usiopingika).

Gabon

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Gabon



Nchi zingine · Atlasi
Bendera ya Rais wa Gabon
Muda wa MadarakaAliye-MadarakaniUhusianoMaelezo
Jamhuri ya Kujitawala ya Gabon
28 Novemba 1958 hadi Julai 1959Louis Sanmarco, Kamishna Mkuu
Julai 1959 hadi 17 Agosti 1960Jean Risterucci, Kamishna Mkuu
Jamhuri ya Gabon   (République Gabonaise)
17 Agosti 1960 hadi 17 Februari 1964Léon M'ba, RaisBDGAmejiuzulu
17 Februari 1964 hadi 18 Februari 1964Kamati ya Mapinduzi:-
Daniel MbeneMil
Valère Essone
Jacques Mombo
Daniel Mbo Edou
18 Februari 1964 hadi 19 Februari 1964Jean-Hilaire Aubame, Waziri Mkuu wa MudaMnyang'anyi
19 Februari 1964 hadi 28 Novemba 1967Léon M'ba, RaisBDGAlirejea na kufariki madarakani
2 Desemba 1967 hadi 1968Albert-Bernard Bongo, RaisBDG
1968 hadi 29 Septemba 1973PDGAlibadili jina kuwa Omar Bongo baada ya kusilimu
29 Septemba 1973 hadi 15 Novemba 2003Omar Bongo, RaisAwali Albert-Bernard Bongo
15 Novemba 2003 hadi 8 Juni 2009El Hadj Omar Bongo Ondimba, RaisAwali Omar Bongo; amekuwa Mwislamu akiwa madarakani
6 Mei 2009 hadi 10 Juni 2009Didjob Divungi Di Ndinge, Kaimu RaisPDGAmekaimu nafasi ya Bongo wakati yuko hospitalini, Makamu wa Rais
10 Juni 2009 hadi 16 Oktoba 2009Rose Francine Rogombé, Kaimu RaisPDGAmemrithi Bongo kikatiba, akiwa Rais wa Seneti
16 Oktoba 2009 hadi 30 Agosti 2023Ali Bongo Ondimba, RaisPDGAmeondolewa na wanajeshi
30 Agosti 2023 kwenda UraisBrice Clotaire Oligui Nguema, Kaimu RaisMil

Vyanzo

hariri

Tazama pia

hariri