Old Trafford
Old Trafford ni uwanja wa mpira wa miguu wa nyumbani wa timu ya Manchester United.
Ukiwa na uwezo wa kuchukua watu 74,994, Old Trafford ni uwanja mkubwa zaidi wa klabu nchini Uingereza, na wa kumi na moja kwa ukubwa zaidi katika bara la Ulaya.
Uko umbali wa kilomita 3 kutoka Old Trafford Cricket Ground na karibu na tram stop.
Old Trafford pamekuwa nyumbani kwa Manchester United tangu mwaka 1910.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Old Trafford kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSiku ya Mtoto wa AfrikaNikki wa PiliShairiSiku ya ArafahNembo ya TanzaniaKumaMikoa ya TanzaniaTanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMshororoJumuiya ya Afrika MasharikiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniSimba S.C.Zuhura YunusUandishi wa ripotiSentensiFasihi simuliziMaumivu ya kiunoKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaBaraAina za manenoOrodha ya nchi za AfrikaKalenda ya KiislamuOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaJohn MagufuliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaTendo la ndoaHistoria ya KanisaOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaMbooVivumishiDiamond Platnumz