Odysseas Elytis
Mwandishi wa mashairi na mtafsiri wa Kigiriki
Odysseas Elytis mnamo tarehe 2 Novemba 1911 mpaka tarehe 18 Machi 1996 alikuwa mshairi, na mtafsiri kutoka nchi ya Ugiriki. Jina lake la kuzaliwa ni Odysseas Alepoudhelis.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/sw/thumb/1/10/Tuzo_Nobel.png/80px-Tuzo_Nobel.png)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/fb/Elytis%2C_Odysseas_%281911-1996%29.jpg/220px-Elytis%2C_Odysseas_%281911-1996%29.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/69/Odysseas_Elytis_1974.jpg/220px-Odysseas_Elytis_1974.jpg)
Mnamo Mwaka wa 1979 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
![]() | Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Odysseas Elytis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaNembo ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAloysius GonzagaKumaTanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaMikoa ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaShairiDiamond PlatnumzKamusi za KiswahiliFasihi simuliziAina za manenoSimba S.C.Maumivu ya kiunoBaraKitenzi kishirikishiVita Kuu ya Pili ya DuniaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMawasilianoVichekeshoUzazi wa mpango kwa njia asiliaJohn MagufuliMbooNominoMofimuUandishi wa ripotiKamusiSentensiTendo la ndoaKiswahiliJumuiya ya Afrika MasharikiZuchuMshororoHistoria ya KanisaMisemo