Norman Mailer
Norman Kingsley Mailer (31 Januari 1923 – 10 Novemba 2007) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1980, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Executioner's Song. Pia, kitabu chake "Armies of the Night" kilimpatia Tuzo ya Pulitzer kwa jumla isiyo bunilizi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Norman Mailer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaShairiAina za manenoVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaSentensiKamusi za KiswahiliNembo ya TanzaniaNahauFasihi simuliziTanzaniaMshororoOrodha ya makabila ya TanzaniaKaswendeKisaweUandishi wa ripotiJumuiya ya Afrika MasharikiUkimwiMaalum:MabadalikoyaKaribuniKumaInsha ya wasifuAlama ya uakifishajiUsafi wa mazingiraVitenzi vishirikishi vikamilifuNominoFasihiZuhura YunusUzazi wa mpango kwa njia asiliaNgeliVitendawiliVieleziOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaTarakilishiMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaTamthilia