Nashoni
Nashoni (kwa Kiebrania נחשון) alikuwa kiongozi wa kabila la Yuda (Israeli) anayetajwa katika Biblia ya Kiebrania, ambayo ni sehemu ya Biblia ya Kikristo (Agano la Kale), katika kitabu cha Hesabu, sura ya 2, mstari wa 3.
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nashoni kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaNembo ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAloysius GonzagaKumaTanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaMikoa ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaShairiDiamond PlatnumzKamusi za KiswahiliFasihi simuliziAina za manenoSimba S.C.Maumivu ya kiunoBaraKitenzi kishirikishiVita Kuu ya Pili ya DuniaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMawasilianoVichekeshoUzazi wa mpango kwa njia asiliaJohn MagufuliMbooNominoMofimuUandishi wa ripotiKamusiSentensiTendo la ndoaKiswahiliJumuiya ya Afrika MasharikiZuchuMshororoHistoria ya KanisaMisemo