Mikoa ya Kodivaa

(Elekezwa kutoka Mikoa ya Cote d'Ivoire)

Mikoa ya Kodivaa (Kifaransa: Régions de Côte d’Ivoire) ni ngazi ya pili ya ugatuzi nchini Kodivaa. Nchi imegawanywa katika wilaya 14 ambazo ni ngazi ya kwanza ya ugatuzi. Wilaya mbili ni miji iliyoandaliwa kama wilaya huru na wilaya 12 za kawaida zinagawanyika katika mikoa 31.

Mikoa na wilaya zisizo huru, imegawanywa katika tarafa 108 ambazo ni ngazi ya tatu ya ugatuzi.

Mikoa hariri

Kwa sasa kuna mikoa 31. Majina na mwaka wa uundaji wake, ni kama ifuatavyo:

  1. Agnéby-Tiassa (2011)
  2. Bafing (2000)
  3. Bagoué (2011)
  4. Bélier (2011)
  5. Béré (2011)
  6. Bounkani (2011)
  7. Cavally (2011)
  8. Folon (2011)
  9. Gbêkê (2011)
  10. Gbôklé (2011)
  11. Gôh (2011)
  12. Gontougo (2011)
  13. Grands-Ponts (2011)
  14. Guémon (2011)
  15. Hambol (2011)
  16. Haut-Sassandra (1997)
  17. Iffou (2011)
  18. Indénié-Djuablin (2011)
  19. Kabadougou (2011)
  20. La Mé (2011)
  21. Lôh-Djiboua (2011)
  22. Marahoué (1997)
  23. Moronou (2012)
  24. Nawa (2011)
  25. N'Zi (2011)
  26. Poro (2011)
  27. San-Pédro (2011)
  28. Sud-Comoé (1997)
  29. Tchologo (2011)
  30. Tonkpi (2011)
  31. Worodougou (1997)
A. Jimbo huru la Abidjan (2011) (Si mkoa wala kugawanywa katika mikoa)
B. Jimbo huru la Yamoussoukro (2011) (Si mkoa wala kugawanywa katika mikoa)
WilayaMakao makuuMikoaMakao makuuIdadi ya watu
Abidjan
(Uhuru wilaya za Abidjan)
4,707,404
Bas-Sassandra
(Wilaya ya Bas-Sassandra)
San-PédroGbôkléSassandra400,798
NawaSoubré1,053,084
San-PédroSan-Pédro826,666
Comoé
(Wilaya ya Comoé)
AbengourouIndénié-DjuablinAbengourou560,432
Sud-ComoéAboisso642,620
Denguélé
(Wilaya ya Denguélé)
OdiennéFolonMinignan96,415
KabadougouOdienné193,364
Gôh-Djiboua
(Wilaya ya Gôh-Djiboua)
GagnoaGôhGagnoa876,117
Lôh-DjibouaDivo729,169
Lacs
(Wilaya ya Lacs)
DimbokroBélierYamoussoukro346,768
IffouDaoukro311,642
MoronouBongouanou352,616
N'ZiDimbokro247,578
Lagunes
(Wilaya ya Lagunes)
DabouAgnéby-TiassaAgboville606,852
Grands-PontsDabou356,495
La MéAdzopé514,700
Montagnes
(Wilaya ya Montagnes)
ManCavallyGuiglo459,964
GuémonDuékoué919,392
TonkpiMan992,564
Sassandra-Marahoué
(Wilaya ya Sassandra-Marahoué)
DaloaHaut-SassandraDaloa1,430,960
MarahouéBouaflé862,344
Savanes
(Wilaya ya Savanes)
KorhogoBagouéBoundiali375,687
PoroKorhogo763,852
TchologoFerkessédougou467,958
Vallée du Bandama
(Wilaya ya Vallée du Bandama)
BouakéGbêkêBouaké1,010,849
HambolKatiola429,977
Woroba
(Wilaya ya Woroba)
SéguélaBéréMankono389,758
BafingTouba183,047
WorodougouSéguéla272,334
Yamoussoukro
(Uhuru wilaya za Yamoussoukro)
355,573
Zanzan
(Wilaya ya Zanzan)
BondoukouBounkaniBouna267,167
GontougoBondoukou667,185

Mikoa kabla ya 2011 hariri

ramani ya mikoa ya Cote d'Ivoire kabla ya 2011.

Kabla ya mwaka 2011, Cote d'Ivoire iligawanyika katika mikoa 19 (miji mikuu imewekwa kwenye mabano):

Mikoa hiyo yote iligawanyika tena kwenye wilaya takriban 90.

Tazama pia hariri