Maore (kisiwa)
Kwa kata ya Tanzania yenye jina hili, angalia Maore
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/5f/Mayotte-CIA_WFB_Map.png/300px-Mayotte-CIA_WFB_Map.png)
Maore (Kifaransa: Grande-Terre) ni kisiwa kikubwa cha eneo la ng’ambo la Ufaransa la Mayote. Kisiwa cha pili ni Pamanzi (Kifaransa: Petite-Terre).
Maore ina urefu wa km 39 na upana wa km 22.
Milima yake ni Mlima Benara (m 660), Mlima Choungui (m 594), Mlima Mtsapere (m 572) na Mlima Combani (m 477).
Mji mkubwa ni Momoju. Kitovu cha kiuchumi ni Kaweni.
Kijiografia kisiwa ni sehemu ya funguvisiwa la Komori.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Maore (kisiwa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoOrodha ya makabila ya TanzaniaJamii:RomaniaZuhura YunusMafurikoShairiMikoa ya TanzaniaInsha ya wasifuDiamond PlatnumzHifadhi ya mazingiraKumaKenyaTanzaniaMaumivu ya kiunoHaki za watotoMadawa ya kulevyaAmri KumiKamusi za KiswahiliTendo la ndoaMazingiraUkimwiMisemoAina za manenoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaSimba S.C.Orodha ya vitabu vya BibliaNahauMaalum:MabadalikoyaKaribuniMapenziTungo kiraiVivumishiVita Kuu ya Pili ya DuniaOrodha ya Magavana wa TanganyikaFasihi simuliziSilabiUandishi wa insha