Lugha ya pili
Lugha ya pili ni lugha yoyote ambayo inatumika katika mazingira ya mtoto fulani anayojifunza, isipokuwa lugha mama.
Ni tofauti na lugha ya kigeni, kwa sababu hiyo haipatikani katika mazingira yake.
Pengine inaitwa lugha ya pili hata lugha ambayo mtu amejifunza kwa makusudi na pengine kuitumia sana baada ya utoto.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha ya pili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaPentekosteJumuiya ya Afrika MasharikiNembo ya TanzaniaShinikizo la juu la damuOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoShairiAina za manenoRoho MtakatifuKumaMikoa ya TanzaniaTanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaKamusi za KiswahiliTanganyikaDiamond PlatnumzVieleziVivumishiHistoria ya KanisaVipaji vya Roho MtakatifuMaumivu ya kiunoSentensiSimba S.C.Fasihi simuliziMshororoNominoDuniaUandishi wa ripotiAfrika Mashariki 1800-1845TamthiliaNgeliNdubwiTendo la ndoaTarakilishiOrodha ya Watakatifu Wakristo