Kithai-Kaskazini
Kithai ya Kaskazini (pia Kilanna au Kikam-Mueang) ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uthai inayozungumzwa na Wathai. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kithai ya Kaskazini nchini Uthai imehesabiwa kuwa watu milioni sita. Pia kuna wasemaji 29,500 nchini Laos (2005). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kithai ya Kaskazini iko katika kundi la Kitai ya Kaskazini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kithai ya Kaskazini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kithai ya Kaskazini
- lugha ya Kithai ya Kaskazini katika Glottolog
- lugha ya Kithai ya Kaskazini kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kithai-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSiku ya Mtoto wa AfrikaNikki wa PiliShairiSiku ya ArafahNembo ya TanzaniaKumaMikoa ya TanzaniaTanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMshororoJumuiya ya Afrika MasharikiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniSimba S.C.Zuhura YunusUandishi wa ripotiSentensiFasihi simuliziMaumivu ya kiunoKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaBaraAina za manenoOrodha ya nchi za AfrikaKalenda ya KiislamuOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaJohn MagufuliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaTendo la ndoaHistoria ya KanisaOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaMbooVivumishiDiamond Platnumz