Kiranja Mkuu
Kiranja Mkuu au Mkuu wa viranja (pia: Kaka mkuu ama Dada mkuu; kwa lugha ya Kiingereza "Head Prefect"; kifupi: "HP") ni kiongozi wa serikali ya wanafunzi shuleni, hasa katika shule ya msingi na sekondari.
Kiranja ni mwanafunzi aliyechaguliwa na walimu au wanafunzi wenzake kwa lengo la kuwasimamia usafi, nidhamu, mazingira ya wanafunzi na kuweka daraja kati ya waalimu na wanafunzi.
Kiranja Mkuu ndiye anayewasimamia na kuwaagiza viranja wengine, ni kama Rais na wizara zake.
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiranja Mkuu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoShairiMikoa ya TanzaniaNembo ya TanzaniaLuhaga Joelson MpinaAina za manenoFasihi simuliziTanzaniaUandishi wa ripotiOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaVivumishiUkimwiKamusi za KiswahiliKumaSentensiNahauSimba S.C.NominoUzazi wa mpango kwa njia asiliaMaumivu ya kiunoMisemoKisaweJohn MagufuliOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMshororoJumuiya ya Afrika MasharikiFasihiSilabiMaalum:MabadalikoyaKaribuniNomino za wingiDiamond PlatnumzViwakilishiTamthiliaJohn Raphael BoccoSaidi Ntibazonkiza