Kilwa
ukarasa wa maana wa Wiki How
Kilwa ni jina la wilaya na mahali patatu katika mkoa wa Lindi, Tanzania.
- Wilaya ya Kilwa iko kati ya Dar-es-salaam na Lindi ufukoni wa Bahari Hindi.
- Kilwa Masoko ni makao makuu ya wilaya.
- Kilwa Kivinje ni mji wa kihistoria tangu karne ya 18.
- Kilwa Kisiwani ni kisiwa karibu na mwambao kinachotazama Kilwa Masoko. Hapo ndipo Kilwa ya kihistoria iliyojulikana kama mji mkubwa wa pwani ya Afrika ya Mashariki tangu nusu ya kwanza ya karne ya 14 BK kutokana na taarifa ya msafiri Ibn Battuta. Pamoja na mabaki ya mji wa Songo Mnara, magofu ya Kilwa Kisiwani yameandikishwa katika orodha ya UNESCO ya "Urithi wa Dunia" (World Heritage).
Kuna pia kata inayoitwa Kilwa katika Wilaya ya Kilindi, Mkoa wa Tanga, Tanzania.
Viungo vya nje hariri
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaPentekosteJumuiya ya Afrika MasharikiNembo ya TanzaniaShinikizo la juu la damuOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoShairiAina za manenoRoho MtakatifuKumaMikoa ya TanzaniaTanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaKamusi za KiswahiliTanganyikaDiamond PlatnumzVieleziVivumishiHistoria ya KanisaVipaji vya Roho MtakatifuMaumivu ya kiunoSentensiSimba S.C.Fasihi simuliziMshororoNominoDuniaUandishi wa ripotiAfrika Mashariki 1800-1845TamthiliaNgeliNdubwiTendo la ndoaTarakilishiOrodha ya Watakatifu Wakristo