Kengele
Kengele (kwa Kiingereza "bell") ni kifaa kilichotengenezwa kwa metali na ambacho mlio wake unafika mbali, hivyo kinatumika kujulisha ratiba fulani, kwa mfano shuleni au monasterini.
Zile kubwa zaidi zinapachikwa kwenye minara ya makanisa ili kualika waamini kusali pale walipo au kukusanyika kwa ajili ya ibada ya pamoja.
Mara nyingine zinatumika kujulisha tukio la furaha au huzuni kubwa.
Zikiwa kadhaa pamoja zinaweza kutumika pia kama ala ya muziki.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kengele kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoKiambishiMuungano wa Tanganyika na ZanzibarFasihi simuliziMofimuAina za manenoVivumishiMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoOrodha ya makabila ya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaKamusi za KiswahiliVitendawiliSilabiFasihiViwakilishiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKiambishi awaliMshororoLughaKamusiNominoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaNembo ya TanzaniaSentensiFasihi andishiKumaMaalum:MabadalikoyaKaribuniVieleziKisaweUandishi wa ripotiUandishi wa inshaKitenziNgeliMisimu (lugha)Alama ya uakifishaji