Kanuni ya Pauli
Kanuni ya Pauli ilitangazwa mwaka wa 1925 na Wolfgang Pauli. Inahusu elektroni za atomu. Kila elektroni ina tarakimu nne za kwanta. Kanuni ya Pauli inadai kwamba tarakimu hizo nne haziwezekani kuwa sawa kwa elektroni mbili ndani ya atomu moja.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/43/Wolfgang_Pauli_young.jpg/220px-Wolfgang_Pauli_young.jpg)
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kanuni ya Pauli kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMikoa ya TanzaniaHurumaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKumaSilvestry Fransis KokaOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniDiamond PlatnumzShairiNipasheBaraza la Maaskofu Katoliki TanzaniaNembo ya TanzaniaKabukuOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMaumivu ya kiunoMbooMapenzi ya jinsia mojaSimba S.C.Tendo la ndoaKiswahiliKamusi za KiswahiliVita Kuu ya Pili ya DuniaMkoa wa PwaniMatendo ya hurumaAmri KumiKibonye mkatoAina za manenoMpira wa miguuVichekeshoBaraWasukumaJumuiya ya Afrika MasharikiClatous ChamaChama cha kisiasa