Jesé
Mchezaji wa soka wa nchini Hispania
Jese Rodríguez Ruiz (matamshi ya Kihispania: [xese roðɾiɣeθ rwiθ]; anajulikana kama Jesé Rodríguez au kama Jesé tu; alizaliwa 26 Februari 1993) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama mchezaji wa mbele wa Real Betis, kwa mkopo kutoka Paris Saint-Germain.
Mchezaji huyu alikuwa mchezaji wa klabu ya Real Madrid mwaka 2011 hadi 2016.
Viungo vya nje hariri
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jesé kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMikoa ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKumaShairiMawasilianoEverest (mlima)Kamusi za KiswahiliOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaTanzaniaDiamond PlatnumzOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya milima mirefu dunianiYoung Africans S.C.UtandawaziMaumivu ya kiunoWilaya za TanzaniaMapenziOrodha ya makabila ya TanzaniaFasihi simuliziUandishi wa ripotiVivumishiNahauOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaAfrikaSimba S.C.Hassan MwakinyoAina za manenoMaalum:MabadalikoyaKaribuniNembo ya TanzaniaJohn MagufuliHistoria ya KanisaUzazi wa mpango kwa njia asiliaJumuiya ya Afrika MasharikiLughaUtatuWikipedia:Msaada wa kuanzisha makala