Gandhinagar
Gandhinagar ni jina la mji mkuu wa jimbo la Gujarat katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 2.2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 81 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Jiji la Gandhinagar | |
Mahali pa mji wa Gandhinagar katika Uhindi | |
Majiranukta: 23°13′12″N 72°40′48″E / 23.22000°N 72.68000°E | |
Nchi | Uhindi |
---|---|
Jimbo | Gujarat |
Wilaya | Gandhinagar |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 2,195,891 |
Tovuti: www.collectorgandhinagar.gujarat.gov.in |
Viungo vya nje hariri
- (Kiingereza) Gujarat Information Bureau (Tovuti rasmi)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gandhinagar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaNembo ya TanzaniaAdemola LookmanOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoJumuiya ya Afrika MasharikiEverest (mlima)Mikoa ya TanzaniaKamusi za KiswahiliFasihi simuliziVivumishiTarakilishiMaudhuiMshororoOrodha ya makabila ya TanzaniaMafurikoUandishi wa ripotiInsha ya wasifuSentensiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaAlama ya uakifishajiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaAina za manenoTanzaniaKamusiMaalum:MabadalikoyaKaribuniKiswahiliSilabiVitendawiliTamthiliaNahauFasihiDuniaMisemoOrodha ya milima mirefu dunianiKitenziNomino