Françoise Barré-Sinoussi
Françoise Barré-Sinoussi (amezaliwa 30 Julai, 1947) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza virusi visababishavyo ukimwi. Mwaka wa 2008, pamoja na Harald zur Hausen na Luc Montagnier, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Françoise Barré-Sinoussi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoPentekosteUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaRoho MtakatifuVipaji vya Roho MtakatifuOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaShinikizo la juu la damuNembo ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaAina za manenoJumuiya ya Afrika MasharikiKamusi za KiswahiliShairiTendo la ndoaKumaOrodha ya Watakatifu WakristoMafurikoMaumivu ya kiunoDiamond PlatnumzVivumishiMapenziAmri KumiHistoria ya KanisaOrodha ya nchi za AfrikaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMapenzi ya jinsia mojaMisemoMpira wa miguuMshororoUzazi wa mpango kwa njia asiliaVita Kuu ya Pili ya DuniaTanganyikaMbooMaalum:MabadalikoyaKaribuniVirusi vya Corona