Fernando Llorente
Mchezaji wa mpira wa miguu wa Hispania
Fernando Javier Llorente (alizaliwa 26 Februari 1985) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Uingereza Tottenham Hotspur FC na timu ya taifa ya Hispania.
Llorente alianza kazi yake na Athletic Bilbao, alipitia ngazi mbalimbali za vijana na kuwa mmoja wa wachezaji muhimu zaidi wa klabu hiyo katika miaka hiyo.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fernando Llorente kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaNembo ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAloysius GonzagaKumaTanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaMikoa ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaShairiDiamond PlatnumzKamusi za KiswahiliFasihi simuliziAina za manenoSimba S.C.Maumivu ya kiunoBaraKitenzi kishirikishiVita Kuu ya Pili ya DuniaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMawasilianoVichekeshoUzazi wa mpango kwa njia asiliaJohn MagufuliMbooNominoMofimuUandishi wa ripotiKamusiSentensiTendo la ndoaKiswahiliJumuiya ya Afrika MasharikiZuchuMshororoHistoria ya KanisaMisemo