Emily Balch
Emily Greene Balch (8 Januari 1867 – 9 Januari 1961) alikuwa mtaalamu na mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Tangu mwaka wa 1896 alifundisha masomo ya uchumi na ya jamii katika Chuo cha Wellesley, akapata uprofesa wa chuo kilekile mwaka wa 1913. Mwaka wa 1946, pamoja na John Mott alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani kwa ajili ya kazi yake na Ligi ya Wanawake ya Kimataifa kwa Amani na Uhuru.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Emily Balch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaNahauWafiadini wa UgandaMikoa ya TanzaniaTanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoNembo ya TanzaniaKamusi za KiswahiliAina za manenoNgeliKumaOrodha ya makabila ya TanzaniaTamthiliaMshororoUandishi wa ripotiVivumishiNominoFasihi simuliziKarolo LwangaInsha ya wasifuOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaKisaweSilabiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaHifadhi ya mazingiraDiamond PlatnumzMisemoJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiKitenzi kishirikishiMazingiraKombe la FA TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUandishi wa inshaMaumivu ya kiuno