Colima (jimbo)
Colima ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexico upande wa magharibi ya nchi. Ina pwani na Pasifiki. Ni jimbo dogo, imepakana na Jalisco na Michoacán.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/2/29/CeballosHotelColima.jpg/200px-CeballosHotelColima.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/52/Flag_of_Colima.svg/220px-Flag_of_Colima.svg.png)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c7/Mexico_map%2C_MX-COL.svg/220px-Mexico_map%2C_MX-COL.svg.png)
Mji mkuu ni Colima na mji mkubwa ni Manzanillo. Jimbo lina wakazi wapatao 567,996 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 5,191.
Gavana wa jimbo ni Jesus Silverio Cavazos Ceballos
Lugha rasmi ni Kihispania
Miji Mikubwa
hariri- Manzanillo (137,842)
- Colima (132,273)
- Tecomán (76,166)
Viungo vya Nje
hariri- (Kihispania) Estado de Colima Sitio oficial
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Colima (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia