Christopher Hatton
Christopher Hatton (1540 - 20 Novemba 1591) alikuwa mwanasiasa Chansela wa Uingereza na mpendwa wa malkia Elizabeth I wa Uingereza.
Miaka ya mwanzoni hariri
Sir Christopher Hatton alikuwa mtoto wa pili wa William Hatton (alikufa 29 Agosti 1546) wa Holdenby, Northamptonshire, na mke wake wa pili, Alice Saunders, binti Lawrence Saunders (alikufa 1544) wa Harrington, Northamptonshire. Bibi yake alikuwa Alice Brokesby, binti Robert Brokesby (alikufa 28 Machi 1531) wa Shoby, Leicestershire, na Alice Shirley.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christopher Hatton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaNahauWafiadini wa UgandaMikoa ya TanzaniaTanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoNembo ya TanzaniaKamusi za KiswahiliAina za manenoNgeliKumaOrodha ya makabila ya TanzaniaTamthiliaMshororoUandishi wa ripotiVivumishiNominoFasihi simuliziKarolo LwangaInsha ya wasifuOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaKisaweSilabiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaHifadhi ya mazingiraDiamond PlatnumzMisemoJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiKitenzi kishirikishiMazingiraKombe la FA TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUandishi wa inshaMaumivu ya kiuno