Chifu
Chifu (kutoka Kiingereza: "chief"; majina ya kienyeji ni mengi tofautitofauti) ni kiongozi wa jadi katika kabila fulani.
Uongozi huo ulijitokeza mwishoni mwa zama za mawe na kutawala zama za chuma, mara nyingi ukisaidiwa na halmashauri ya wazee.
Wakati wa ukoloni, uongozi huo uliweza kukubalika, mradi uwe chini ya himaya ya wakoloni.
Hata baada ya uhuru, machifu wanaweza kuwa na madaraka fulani, k.mf. nchini Uganda.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoMaalum:MabadalikoyaKaribuniKimbungaMustafa MkuloUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMikoa ya TanzaniaSikioOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoTanzaniaShairiKumaMaumivu ya kiunoUbongoMofimuDiamond PlatnumzNembo ya TanzaniaAmri KumiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaKamusi za KiswahiliMafurikoKiswahiliFasihi simuliziVitendawiliVita Kuu ya Pili ya DuniaChristina ShushoJumuiya ya Afrika MasharikiWanawake katika uchakataji pombeSentensiAina za manenoDuniaKigezo:Vyeo vya kijeshi TanzaniaUprotestantiUpendoTanganyikaIrene PaulOrodha ya Watakatifu Wakristo