Bijapur
Bijapur ni mji kwenye jimbo la Karnataka katika kusini ya Uhindi. Mji upo kwenye nyanda za juu za Dekkan takriban kilomita 490 kusini-mashariki ya Mumbai na kilomita 470 kaskazini ya Bangalore kwa 16.83 N na 75.71 E. Kuna wakazi 271,064 (2005).
Kihistoria Bijapur ilikuwa muhimu kama mji mkuu wa Usultani wa Bijapur kati ya 1490 hadi 1686. Kumbukumbu ya wakati ule ni jengo zuri la Gol Gumbaz lenye kuba kubwa ambalo ni kaburi la sultani pamoja na msikiti.
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSilvestry Fransis KokaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaKumaClatous ChamaOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMbooAina za manenoShairiVivumishiVita Kuu ya Pili ya DuniaOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaVichekeshoYoung Africans S.C.Mpira wa miguuOrodha ya nchi za AfrikaUandishi wa ripotiMaalum:MabadalikoyaKaribuniOrodha ya Marais wa ZanzibarTendo la ndoaMapenziNominoKamusi za KiswahiliEe Mungu Nguvu YetuSimba S.C.Hifadhi ya mazingiraHurumaMisemoJulius NyerereOrodha ya vitabu vya BibliaBaraza la Maaskofu Katoliki Tanzania