Bernard Katz
Bernard Katz (26 Machi 1911 – 20 Aprili 2003) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Ujerumani. Wakati wa utawala wa Hitler alihamia Uingereza. Hasa alichunguza neva. Alipewa cheo cha "Sir" mwaka wa 1969. Mwaka wa 1970, pamoja na Ulf von Euler na Julius Axelrod alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/sw/thumb/1/10/Tuzo_Nobel.png/80px-Tuzo_Nobel.png)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/e2/Sir_Bernard_Katz.jpg/220px-Sir_Bernard_Katz.jpg)
![]() | Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bernard Katz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoLucy KombaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSiku ya ArafahSiku ya Mtoto wa AfrikaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniLuhaga Joelson MpinaKumaDiamond PlatnumzTanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaKamusi za KiswahiliSimba S.C.Orodha ya Watakatifu WakristoNikki wa PiliKalenda ya KiislamuMaumivu ya kiunoMbooShairiNembo ya TanzaniaAmri KumiVita Kuu ya Pili ya DuniaTendo la ndoaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Orodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaJohn MagufuliHistoria ya KanisaMofimuIdd el HajjOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaOrodha ya miji ya kale ya WaswahiliMapenzi ya jinsia mojaOrodha ya Marais wa TanzaniaFasihi simuliziOrodha ya Marais wa Zanzibar