Belmopan
Belmopan ni mji mkuu wa Belize. Idadi ya wakazi ni takriban watu 15,000. Jina la mji liliundwa na maneno mawili ya "Belize" (=nchi) na "Mopan" ambayo ni mto wa karibu.
Jiji la Belmopan | |
Nchi | Belize |
---|
Belmopan iko kando ya mto Belize kwenye 17°15′N 88°46′W takriban mita 76 juu ya UB. Ilichukua nafasi ya Belize City mji mkuu wa awali ulioharibika kabisa na dhoruba ya tufani mwaka 1961. Mji ulipangwa kwa ajili ya wakazi 40,000 lakini haikukua ipasavyo.
Pamoja na ofisi za serikali na bunge kuna pia Chuo Kikuu cha Belize.
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Belmopan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaNahauWafiadini wa UgandaMikoa ya TanzaniaTanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoNembo ya TanzaniaKamusi za KiswahiliAina za manenoNgeliKumaOrodha ya makabila ya TanzaniaTamthiliaMshororoUandishi wa ripotiVivumishiNominoFasihi simuliziKarolo LwangaInsha ya wasifuOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaKisaweSilabiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaHifadhi ya mazingiraDiamond PlatnumzMisemoJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiKitenzi kishirikishiMazingiraKombe la FA TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUandishi wa inshaMaumivu ya kiuno