Andriy Lunin
Andriy Oleksiyovych Lunin (alizaliwa 11 Februari 1999) ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama kipa wa klabu iliyopo nchini Hispania ya Real Madrid, na timu ya taifa ya Ukraina.
Andriy Lunin
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ukraine |
Nchi anayoitumikia | Ukraine |
Jina katika lugha mama | Андрій Олексійович Лунін |
Jina halisi | Andriy |
Jina la familia | Lunin |
Tarehe ya kuzaliwa | 11 Februari 1999 |
Mahali alipozaliwa | Krasnohrad |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiukraine, Kiingereza, Kihispania, Kirusi |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | goalkeeper |
Muda wa kazi | 2016 |
Mwanachama wa timu ya michezo | Real Madrid |
Mchezo | Mpira wa miguu |
Tuzo iliyopokelewa | Order of Merit (Ukraine), 3rd class |
Kazi ya klabu hariri
Real Madrid hariri
Tarehe 19 Juni 2018, Real Madrid ilifikia makubaliano na Lunin kusaini katika klabu hiyo kwa milioni 8.5 na mpango wa nyongeza wa milioni 5.
Mpango huo ulihitimishwa siku nne baadaye, na akawa mchezaji wa kwanza kuichezea klabu hiyo kutoka ukraine.Mnamo 27 Agosti 2018, alikopwa na kwenda katika klabu ya karibu iitwayo CD Leganés, kwa msimu huo.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Andriy Lunin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMikoa ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKumaLigi ya Mabingwa UlayaNahauTanzaniaDiamond PlatnumzKamusi za KiswahiliUwanja wa WembleyOrodha ya makabila ya TanzaniaVirusi vya CoronaMaumivu ya kiunoKiswahiliAmri KumiSimba S.C.Orodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUtandawaziOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaYoung Africans S.C.Nembo ya TanzaniaOrodha ya milima mirefu dunianiMpira wa miguuStephane Aziz KiFasihi simuliziVita Kuu ya Pili ya DuniaMapenzi ya jinsia mojaMisemoShairiHistoria ya KanisaHifadhi ya mazingiraMaalum:MabadalikoyaKaribuniAina za manenoZuchuEverest (mlima)Lugha