Aleksander Prokhorov
Aleksander Mikhailovich Prokhorov (11 Julai 1916 – 8 Januari 2002) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza mionzi ya aina mbalimbali na kuvumbua leza. Mwaka wa 1964, pamoja na Nikolai Basov na Charles Townes alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aleksander Prokhorov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoMaalum:MabadalikoyaKaribuniKimbungaMustafa MkuloUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMikoa ya TanzaniaSikioOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoTanzaniaShairiKumaMaumivu ya kiunoUbongoMofimuDiamond PlatnumzNembo ya TanzaniaAmri KumiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaKamusi za KiswahiliMafurikoKiswahiliFasihi simuliziVitendawiliVita Kuu ya Pili ya DuniaChristina ShushoJumuiya ya Afrika MasharikiWanawake katika uchakataji pombeSentensiAina za manenoDuniaKigezo:Vyeo vya kijeshi TanzaniaUprotestantiUpendoTanganyikaIrene PaulOrodha ya Watakatifu Wakristo