1821
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |Karne ya 18 |Karne ya 19| Karne ya 20| ►
◄ |Miaka ya 1790 |Miaka ya 1800 |Miaka ya 1810 |Miaka ya 1820| Miaka ya 1830| Miaka ya 1840| Miaka ya 1850| ►
◄◄ |◄ |1817 |1818 |1819 |1820 |1821| 1822| 1823| 1824| 1825| ►| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1821 BK (Baada ya Kristo).
Matukio hariri
- 15 Septemba - Nchi ya El Salvador inapata uhuru kutoka kwa Wahispania.
- 27 Septemba - Hispania inatambua uhuru wa Mexiko katika mkataba wa Cordoba
- 28 Novemba - Nchi ya Panama inapata uhuru kutoka Hispania ikawa sehemu ya nchi Kolombia chini ya Simon Bolivar.
Waliozaliwa hariri
Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 21 Januari - John Breckinridge, Kaimu Rais wa Marekani (1857-1861)
- 11 Novemba - Fyodor Dostoyevski, mwandishi Mrusi
Waliofariki hariri
- 4 Januari - Elizabeth Ann Seton, mtakatifu na mwanzilishi wa shirika la kwanza la kitawa huko Marekani
- 5 Mei - Napoleon Bonaparte, Mfalme wa Ufaransa
- 3 Juni - Egwale Seyon, Mfalme Mkuu wa Uhabeshi
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaVivumishiFasihi simuliziMarie AntoinetteOrodha ya makabila ya TanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiNembo ya TanzaniaAina za manenoMafurikoInsha ya wasifuMshororoUandishi wa ripotiNgeliOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoTamthiliaMikoa ya TanzaniaTarakilishiMaumivu ya kiunoAlama ya uakifishajiTanzaniaHistoria ya IranMaudhuiNahauMaalum:MabadalikoyaKaribuniKamusi za KiswahiliSentensiFasihiViwakilishiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaVieleziUajemiKamusiMethaliTanganyikaKitenzi kishirikishiLahaja za Kiswahili