Érick Gutiérrez
Érick Gutiérrez (alizaliwa 15 Juni 1995) ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Mexiko ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Pachua.
Mexico U-23 hariri
Mnamo tarehe 18 Septemba 2015, Gutiérrez alichaguliwa na kocha Raul Gutierrez kucheza katika michuano ya olimpiki ya CONCACAF mwaka 2015.
Pia alichaguliwa kuwakilisha Mexiko katika michezo ya Olimpiki ya Summer ya mwaka 2016 huko Rio de Janeiro, Brazil. Tarehe 7 Agosti, alifunga magoli 4 na Mexiko kushinda 5-1 .
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Érick Gutiérrez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaShairiAina za manenoVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaSentensiKamusi za KiswahiliNembo ya TanzaniaNahauFasihi simuliziTanzaniaMshororoOrodha ya makabila ya TanzaniaKaswendeKisaweUandishi wa ripotiJumuiya ya Afrika MasharikiUkimwiMaalum:MabadalikoyaKaribuniKumaInsha ya wasifuAlama ya uakifishajiUsafi wa mazingiraVitenzi vishirikishi vikamilifuNominoFasihiZuhura YunusUzazi wa mpango kwa njia asiliaNgeliVitendawiliVieleziOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaTarakilishiMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaTamthilia