Christina Shusho
Mwimbaji wa nyimbo za injili
Christina Shusho (alizaliwa Novemba mkoani Kigoma) ni mwanamuziki wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania.
Christina Shusho | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | Christina Shusho |
Amezaliwa | 24 Novemba 1978 |
Asili yake | Mkoa wa Kigoma; ni Mbembe |
Aina ya muziki | Nyimbo za Injili |
Kazi yake | Mwimbaji wa Nyimbo za Injili |
Ala | Sauti |
Aina ya sauti | 3 |
Maisha
Christina Shusho amezaliwa na kukua katika malezi mazuri ya dini ya Kikristo mkoani Kigoma.
Amesoma Shule ya Msingi na Sekondari hukohuko.
Aliolewa jijini Dar es Salaam na kujaliwa kupata watoto watatu.
Alianza kama mfanya usafi kanisani. Katika kazi yake ya usafishaji wa kanisa alifanikiwa kujiunga na kwaya, ndipo alipotumia kipaji chake cha kusifu. Miaka michache baadae aliamua kurekodi muziki wake mwenyewe.
Albamu yake ya kwanza ilikuwa ‘Kitu gani kinitenge na upendo wa Bwana’, ambayo ilimfanya ajiamini katika kuimba.
Albamu iliyofuata ni ‘Unikumbuke’ na ‘Nipe Macho’ ambayo imejulikana Afrika Mashariki.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christina Shusho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaNahauWafiadini wa UgandaMikoa ya TanzaniaTanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoNembo ya TanzaniaKamusi za KiswahiliAina za manenoNgeliKumaOrodha ya makabila ya TanzaniaTamthiliaMshororoUandishi wa ripotiVivumishiNominoFasihi simuliziKarolo LwangaInsha ya wasifuOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaKisaweSilabiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaHifadhi ya mazingiraDiamond PlatnumzMisemoJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiKitenzi kishirikishiMazingiraKombe la FA TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUandishi wa inshaMaumivu ya kiuno